Fikia Usanidi wa Wavuti na uteue kichupo cha Print > Error Settings.
Teua kila kipengee.
Paper Size Notice
Weka iwapo utaonyesha kosa kwenye paneli dhibiti wakati ukubwa wa karatasi wa chanzo kilichobanishwa cha karatasi ni tofauti na ukubwa wa karatasi wa data iliyochapishwa.
Paper Type Notice
Weka iwapo utaonyesha kosa kwenye paneli dhibiti wakati aina ya karatasi wa chanzo kilichobanishwa cha karatasi ni tofauti na aina ya karatasi ya data iliyochapishwa.
Auto Error Solver
Weka iwapo utakatisha kosa kiotomatiki iwapo hakuna matumizi kwenye paneli dhibiti kwa sekunde 5 baada ya kuonyesha kosa.