Kwenye Chaguo Mahiri za kiendeshi cha kichapishi, bofya Vipengele vya Kichapishi katika Chaguo za Waraka.
Teua nafasi ya kupiga stepla kutoka kwenye Bana kwa stepla.
Weka vipengee vingine, na kisha ubofye SAWA.
Bofya Chapisha.
Kuchapisha Kwa Kutumia Kiendeshi cha Kichapishi cha PostScript(Windows)
Chaguo Mahiri