Unaweza kuhifadhi data kwenye Hifadhi na wakati huo huo kunakili. Unaweza pia kuhifadhi data kwenye Hifadhi tu.
Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Teua kichupo cha Mahiri, na kisha uteue Kuhifadhi Faili.
Wezesha mpangilio wa Kuhifadhi Faili.
Bianisha mipangilio.
Donoa
.