> Maelezo ya Bidhaa > Orodha ya Menyu ya Mipangilio > Kihesabu cha Kuchapisha

Kihesabu cha Kuchapisha

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Kihesabu cha Kuchapisha

Huonyesha jumla ya idadi ya machapisho, machapisho ya B&W, na machapisho ya rangi yakijumuisha vipengee kama vile laha la hali kutoka wakati ulinunua kichapishi. Unaweza pia kuangalia idadi ya kurasa zilizochapishwa kutoka kwenye kifaa cha kumbukumbu au utendakazi mwingine kwenye laha ya Historia ya Matumizi.