Bainisha mipangilio hii unapotaka kufanya machapisho kutarazwa mshono.
Menyu hii inaonyeshwa tu wakati kitendaji cha utarazaji mshono kimewezeshwa.
Taraza
Hukuruhusu kutaraza mshono wa machapisho.
Kurasa kwa kila Kibanio
Bainisha idadi ya kurasa za kutaraza mshono.
Gawanya
Hukuruhusu kugawanya machapisho yanapoondolewa.
Jalada
Hukuruhusu kuongeza majalada kwenye machapisho.
Mipangilio ya K'si
Chagua chanzo cha karatasi ulichoweka karatasi kwa ajili ya majalada.
Bainisha mipangilio hii unapotaka kufanya machapisho yakunjwe nusu.
Menyu hii inaonyeshwa tu wakati kitendaji cha ukunjaji nusu kimewezeshwa.
Mkunjo Nusu
Hukuruhusu kufanya machapisho yakunjwe nusu.
Kurasa kwa kila Kunja
Bainisha idadi ya kurasa za kukunja nusu.
Gawanya
Hukuruhusu kugawanya machapisho yanapoondolewa.
Jalada
Hukuruhusu kuongeza majalada kwenye machapisho.
Mipangilio ya K'si
Chagua chanzo cha karatasi ulichoweka karatasi kwa ajili ya majalada.
Hali ya Kuchapisha
Teua iwapo utachapisha nje au ndani ya karatasi nusu lililokunjwa.