Kurekebisha Toni ya Chapisho

Unaweza kurekebisha toni inayotumiwa katika uchapishaji. Marekebisho haya hayatumiwi kwenye data ya kwanza.

  1. Teua Color Options kutoka kweney menyu ibukizi, na kisha ueke ung'avu au ulinganuzi.

  2. Weka vipengele hivyo vingine inavyohitajika.

  3. Bofya Chapisha.