Haiwezi Kuunganishwa kwenye Mtandao
Tatizo fulani limetokea kwenye kifaa cha mtandao kwa muunganisho wa Wi-Fi.
Unapobadilisha kipanga njia pasiwaya, mipangilio hailingani na kipanga njia kipya.
SSID zilizounganishwa kutoka kompyuta au kifaa maizi na komyuta ni tofauti.
Kitenganishi cha faragha kwenye kipanga njia pasiwaya kinapatikana.