Ikiwa nozeli zimeziba, uchapishaji unakuwa fifu, mistati inaonekana, au rangi zisizotarajiwa zinaonekana. Ikiwa nozeli zimeziba sana, karatasi tupu itachapishwa. Wakati ubora wa chapisho umepungua, kwanza tumia kipengele cha kukagua nozeli na ukague kama nozeli zimeziba. Ikiwa nozeli zimeziba, safisha kichwa cha kuchapisha.
Usifungue kitengo cha kitambazo au kuzima printa wakati wa usafishaji wa kichwa. Ikiwa usafisha wa kichwa haujakamilika, huenda usiweze kuchapisha.
Kusafisha kichwa hutumia wino mwingi na unapaswa kufanywa ikiwa ni muhimu tu.
Wakati wino ni kidogo, huenda usiweze kusafisha kichwa cha kuchapisha.
Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kurudia kuangalia nozeli na kusafisha mara 3, subiri kwa angalau saa 12 bila kuchapisha, angalia nozeli tena , na kisha urudie usafishaji wa kichwa ikiwa ni muhimu. Tunapendekeza uzime kichapishi kwa kutumia kitufe cha
. Ikiwa ubora wa uchapishaji bado haujaimarika, endesha Usafishaji wa Nishati.
Ili kuzuia kichwa cha kuchapisha kisikaue, usichomoe printa wakati nishati imewashwa.
Unaweza kuangalia na kusafisha kichwa cha kuchapisha kwa kutumia paneli dhibiti ya kichapishi.
Teua Matengenezo kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Ukgz Nozeli ya Kichwa Chapa.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini ili kupakia karatasi na kuchapisha ruwaza ya kukagua nozeli.
Angalia ruwaza iliyochapishwa ili kuona iwapo nozeli za kichwa cha kuchapisha zimezibika.

. Hakuna hatua za ziada zinazohitajika.
, kisha uteue Safisha kichwa cha chapa kwenye skrini inayofuata.
, kisha uteue Usafishaji wa Nishati kwenye skrini inayofuata.
Fuata maekelezo kwenye skrini ili kutekeleza usafishaji wa kichwa cha kuchapisha au Usafishaji wa Nishati.
Usafishaji unapokamilika, ruwaza ya ukaguaji nozeli inachapishwa kiotomatiki. Rudia usafishaji na uchapishaji hadi mistari yote ichapishwe kabisa.
Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kurudia kuangalia nozeli na kusafisha mara 3, subiri kwa angalau saa 12 bila kuchapisha, angalia nozeli tena , na kisha urudie usafishaji wa kichwa ikiwa ni muhimu. Tunapendekeza uzime kichapishi kwa kutumia kitufe cha
. Ikiwa ubora wa uchapishaji bado haujaimarika, endesha Usafishaji wa Nishati.
Unaweza kuangalia na kusafisha kichwa cha kuchapisha kutoka kwenye kiendeshi cha kichapishi.
Windows
Bofya Ukaguzi wa Nozeli ya Kichwa cha Kuchapisha kwenye kichupo cha Utunzaji.
Mac OS
Apple menyu > Mapendeleo ya Mfumo > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi) > Epson(XXXX) > Chaguo na Usambazaji > Matumizi > Fungua Matumizi ya Kichapishaji > Ukaguzi wa Nozeli ya Kichwa cha Kuchapisha