Soma na ufuate maelekezo haya ili uepuke kuharibu printa au mali yako. Weka mwongozo huu kwa marejeleo ya siku zijazo.
Ushauri na Maonyo ya Uwekaji Printa
Ushauri na Maonyo ya Kutumia Printa
Ushauri na Tahadhari za Kutumia Skrini-mguso
Ushauri na Maonyo ya Kutumia Printa na Muunganisho Pasi Waya
Ushauri na Maonyo ya Kutumia Kadi za Kumbukumbu
Ushauri na Maonyo ya Kusafirisha au Kuhifadhi Printa