Usiingize vitu ndani ya printa kupitia sloti.
Usiingize mkono wako ndani ya printa wakati wa uchapishaji.
Usiguse kebo tambarare nyeupe iliyo ndani ya printa.
Usitumie bidhaa za erosoli zilizo na gesi zinazoweza kuwaka moto ndani au kando ya printa. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha moto.
Usisogeze kichwa cha kushapisha ukitumia mkono; la sivyo unaweza kuharibu printa.
Chunga vidole vyako visikwame wakati unafunga kitengo cha kitambazo.
Usibane glasi ya kichanganuzi na nguvu wakati wa kuweka nakala za kwanza.
Kuwa ukizima printa ukitumia kitufe cha
. Usichomoe printa au kuzima nishati katika sokei hadi taa ya
iwache kumwekamweka.
Ikiwa hutatumia printa kwa muda mrefu, hakikisha kuchomoa waya ya nishati kutoka kwa soketi ya stima.