> Katika Hali Hizi > Kuwuka Upya Muunganisho wa Mtandao > Kubadilisha Muunganisho kutoka Wi-Fi hadi USB

Kubadilisha Muunganisho kutoka Wi-Fi hadi USB

Fuata hatua zifuatazo ikiwa Wi-Fi unayotumia sio thabiti, au ikiwa unataka kubadilisha kuwa muunganisho thabiti zaidi wa USB.

  1. Unganisha printa kwenye kompyuta ukitumia kebo ya USB.

  2. Teua printa ambayo haijawekwa lebo (Mtandao) wakati wa kuchapisha ukitumia muunganisho wa USB.