Unaweza kuangalia hali ya muunganisho ukitumia aikoni ya mtandao au taarifa ya mtandao kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Kuangalia Hali ya Muunganisho wa Mtandao kwa Kutumia Aikoni ya Mtandao
Kuonyesha Maelezo ya Kina ya Mtandao kwenye Paneli Dhibiti