Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Settings > Firmware Update
Update:
Angalia iwapo toleo la sasa la programu dhibiti imepakiwa kwenye seva ya mtandao. Programu dhibiti imesasishwa wakati programu dhibiti mpya imepatikana. Pindi tu usasishaji ukianza, hauwezi kukatishwa.
Notification:
Teua On ili kupokea taarifa iwapo kisasisho cha programu dhibiti inapatikana.