> Kukarabati Kichapishi > Kuangalia Hali ya Vitumika > Kuangalia Hali ya Vitumika (Windows)

Kuangalia Hali ya Vitumika (Windows)

  1. Nenda kwa dirisha la kiendeshi cha kichapishi.

  2. Bofya EPSON Status Monitor 3 kwenye kichupo cha Utunzaji.

    Kumbuka:

    Ikiwa EPSON Status Monitor 3 imelemazwa, bofya Mipangilio Iliyorefushwa kwenye kichupo cha Utunzaji, na kisha uteue Wezesha EPSON Status Monitor 3.