> Kukarabati Kichapishi > Kuangalia Hali ya Vitumika

Kuangalia Hali ya Vitumika

Unaweza kuangalia viwango vya wino na maisha ya huduma ya kisanduku cha ukarabati katika paneli dhibiti au kwenye kompyuta.

Kumbuka:

Unaweza kuendelea kuchapisha wakati ujumbe wa kupungua kwa wino umeonyeshwa. Badilisha katriji za wino unapohitajika.