Fuata hatua zilizo hapa chini ili kubadilisha muunganisho kutoka Wi-Fi hadi muunganisho wa Ethaneti.
Donoa Settings kwenye skrini ya nyumbani.
Donoa Network Settings > Wired LAN Setup.
Donoa Start Setup.
Angalia ujumbe, kisha udonoe OK.
Unganisha kichapishi kwenye kipanga njia kwa kutumia kebo ya Ethaneti.