Sehemu hii hufafanua jinsi ya kuweka mipangilio ya muunganisho wa mtandao na kubadlisha mbinu ya muunganisho unapobadilisha kipanga njia pasiwaya au kompyuta.
Unapobadilisha Kipanga Njia Pasiwaya
Kuweka Mipangilio ya Kuunganisha Kompyuta
Kuweka Mipangilio ya Kuunganishwa kwenye Kifaa Maizi
Unapobadilisha Kompyuta
Kubadilisha Mbinu ya Muunganisho hadi kwa Kompyuta
Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao kutoka Ethaneti hadi Wi-Fi
Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao kutoka Wi-Fi hadi Ethaneti
Kubadilisha kutoka muunganisho wa USB hadi Mtandao
Kufanya Mipangilio ya Wi-Fi kutoka kwenye Paneli ya Kudhibiti
Kuunda Mipangilio ya Wi-Fi kwa Kuingiza SSID na Nenosiri
Kuunda Mipangilio ya Wi-Fi kwa Usanidi wa Kitufe cha Kusukuma (WPS)
Kufanya Mipangilio kwa Msimbo wa PIN Sanidi (WPS)