> Kutatua Matatizo > Kichapishi Hakifanyi Kazi Inavyotarajiwa > Karatasi Haitoi Mlisho Ipasavyo > Karatasi Inatemwa kwenye Mpenyo wa Nyuma wa Mlisho wa Karatasi Bila Kuchapishwa

Karatasi Inatemwa kwenye Mpenyo wa Nyuma wa Mlisho wa Karatasi Bila Kuchapishwa

Karatasi ilipakiwa kabla ya mpenyo wa nyuma wa mlisho wa karatasi kuwa tayari.

Suluhisho

Tuma kwanza kazi ya kuchapisha, na kisha upakie karatasi wakati kichapishi kinakuomba ufanye hivyo.