Unapobadilisha Kipanga Njia Pasiwaya

Unapobadilisha kipanga njia pasiwaya, weka mipangilio ya muunganisho kati ya kompyuta au kifaa maizi na kichapishi.

Unahitaji kuunda mipangilio hii iwapo utabadilisha mtoa huduma wako wa Intaneti nakadhalika.