Chaguo za Kina kwa Utambazaji kwenye Kifaa cha Kumbukumbu
Scan Settings
Scan Size:
Teua ukubwa wa kutambaza. Ili kupuna nafasi nyeupe kwenye matini au taswira unapotambaza, teua Auto Cropping. Ili kutambaza katika eneo kubwa la glasi ya kichanganuzi, teua Max Area.
Original Orientation:
Teua mwelekeo wa nakala asili.
Contrast
Teua ulinganuzi wa taswira iliyotambazwa.
Select memory device
Teua kifaa cha kumbukumbu unachotaka kuhifadhi taswira iliyotambazwa.
Clear All Settings
Rejesha mipangilio ya kutambaza kuwa chaguomsingi.