Unaweza kutambaza picha kwenye huduma za wingu. Kabla ya kutumia kipengele hiki, fanya mipangilio kwa kutumia kipengele cha Epson Connect. Tazama tovuti ifuatayo ya kituo Epson Connect kwa maelezo.
http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)
Hakikisha kuwa umefanya mipangilio ukitumia Epson Connect.
Weka hati halisi.
Teua Scan kwenye paneli dhibiti.
Teua Cloud.
Teua
upande wa juu wa skrini, na kisha uteue mafikio.

Weka vipengee kwenye kichupo cha Scan, kama vile umbizo la kuhifadhi.
Teua kichupo cha Advanced Settings, na kisha ukague mipangilio, na uibadilishe ikiwezekana.
Chaguo za Kina za Kutambaza kwenye Wingu

Teua kichupo cha Scan tena kisha udonoe
.
Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyotambazwa hautakuwa sawa na asili.