> Utambazaji > Kutambaza Nakala Asiili kwenye Wingu > Chaguo za Kina za Kutambaza kwenye Wingu

Chaguo za Kina za Kutambaza kwenye Wingu

Original Type

Teua aina ya nakala yako asili.

Scan Settings
  • Scan Size:

    Teua ukubwa wa kutambaza. Ili kupuna nafasi nyeupe kwenye matini au taswira unapotambaza, teua Auto Cropping. Ili kutambaza katika eneo kubwa la glasi ya kichanganuzi, teua Max Area.

  • Original Orientation:

    Teua mwelekeo wa nakala asili.

Contrast

Teua ulinganuzi wa taswira iliyotambazwa.

Clear All Settings

Rejesha mipangilio ya kutambaza kuwa chaguomsingi.