>
Kunakili >
Kunakili Picha >
Chaguo za Menyu ya Marekebisho ya Picha kwa Kunakili Picha
Chaguo za Menyu ya Marekebisho ya Picha kwa Kunakili Picha
Photo Adjustments:
Kuteua PhotoEnhance huzalisha taswira inayoonekana vyema na rangi dhahiri zaidi kwa kurekebisha kiotomatiki ulinganuzi, kueneza, na ung’avu wa data ya taswira asili.