Unaweza kunakili picha kwa urahisi. Unaweza pia kurejesha rangi ya picha zilizofifia.

Ukubwa wa chini zaidi wa nakala asili unaweza kunakini ni 30×40 mm.
Huenda nafasi nyeupe iliyo karibu na picha isitambuliwe.
Pakia karatasi katika kichapishi.
Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi
Teua Various Prints kwenye paneli dhibiti.
Teua Various copies > Copy/Restore Photos.
Badilisha mipangilio ya kuchapisha inavyohitajika, na kisha uteue To Placing Originals.
Chaguo za Menyu ya Karatasi na Mipangilio ya Kuchapisha kwa Picha za Kunakili
Weka nakala ya kwanza ikiangalia chini na uitelezeshe hadi kwa alama ya kona.
Weka picha kwa umbali wa 5 mm kutoka kwenye alama ya kona ya glasi ya kichapishi. Unaweza kuweka picha nyingi na picha za ukubwa tofauti.
Unapoweka picha nyingi, acha nafasi ya angalau 5 mm kati ya picha.
Ukubwa wa juu: 10×15 cm (4×6 in.)

Teua Start Scanning.
Picha zinatambazwa na kuonyeshwa kwenye skrini.
Teua Edit iwapo inahitajika kuunda mipangilio kama vile marekebisho ya picha.
Iwapo unataka kuchapisha kwa kuongeza ukubwa wa sehemu ya picha, teua Crop/Zoom, na kisha uunde mipangilio. Telezesha fremu ya ebeo la kuchapisha upande wa kushoto, na kisha ubadilishe ukubwa wa fremu kutumia
kwenye kona za fremu.
Weka idadi ya nakala inavyohitajika, na kisha udonoe
.
Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.