Pakia laha mbili au zaidi za karatasi za ukubwa wa A4 kwenye kichapishi.
Teua Maintenance kwenye skrini ya nyumbani.
Teua Print Head Nozzle Check.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini kuchapisha ruwaza ya kukagua nozeli.
Angalia ruwaza iliyochapishwa ili kuona iwapo nozeli za kichwa cha kuchapisha zimezibika.

. Hakuna hatua za ziada zinazohitajika.
, kisha uteue Cleaning kwenye skrini inayofuata.
, kisha uteue Power Cleaning kwenye skrini inayofuata.
Fuata maekelezo kwenye skrini ili kutekeleza usafishaji wa kichwa cha kuchapisha au Power Cleaning.
Usafishaji unapokamilika, chapisha ruwaza ya ukaguzi wa nozeli tena. Rudia usafishaji na uchapishaji hadi mistari yote ichapishwe kabisa.
Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kurudia kuangalia nozeli na kusafisha kichwa mara 2, subiri kwa angalau saa 6 bila kuchapisha kisha uangalie nozeli tena na urudie usafishaji wa kichwa ikiwa ni muhimu. Tunapendekeza uzime kichapishi ukitumia kitufe cha
. Ikiwa ubora wa uchapishaji bado haujaimarika, endesha Power Cleaning.