Network Settings

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Settings > Network Settings

Wi-Fi Setup:

Sanidi au badilisha mipangilio ya mtandao wa pasi waya. Chagua mbinu ya muunganisho kutoka kwa zifuatazo na kisha ufuate maagizo kwenye paneli dhibiti.

Wi-Fi (Recommended):
  • Wi-Fi Setup Wizard

  • Push Button Setup (WPS)

  • Others

    • PIN Code Setup (WPS)

    • Wi-Fi Auto Connect

    • Disable Wi-Fi

      Unaweza kutatua matatizo ya mtandao kwa kulemaza mipangilio ya Wi-Fi au kuweka mipangilio ya Wi-Fi tena. Donoa > Wi-Fi (Recommended) > Change Settings > Others > Disable Wi-Fi > Start Setup.

Wi-Fi Direct:
  • iOS

  • Android

  • Other OS Devices

  • Change

    • Change Network Name

    • Change Password

    • Change Frequency Range

      Huenda mipangilio hii isionyeshwe kulingana na eneo.

    • Disable Wi-Fi Direct

    • Restore Default Settings

Wired LAN Setup:

Sanidi au badilisha muunganisho wa mtandao ambao hutumia kebo za LAN na kipanga njia. Wakati hii inatumika, miunganisho ya Wi-Fi inalemazwa.

Network Status:

Huonyesha au huchapisha mipangilio ya sasa ya mtandao.

  • Wired LAN/Wi-Fi Status

  • Wi-Fi Direct Status

  • Print Status Sheet

Connection Check:

Huangalia muunganisho wa mtandao wa sasa na kuchapisha ripoti. Ikiwa kuna matatizo yoyote ya muunganisho, kagua ripoti ili utatue tatizo.

Advanced:

Unda mipangilio ifuatayo ya kina.

  • Device Name

  • TCP/IP

  • Proxy Server