Kufikia Dirisha la Mipangilio ya Operesheni la Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS
Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), kisha uteue kichapishaji. Bofya Chaguo na Vifaa > Chaguo (au Kiendeshi).