Epson
 

    XP-970 Series

    Mwongozo wa Mtumiaji

    > Maelezo ya Bidhaa > Maelezo ya Programu

    Maelezo ya Programu

    Sehemu hii hutambulisha huduma za mtandao na bidhaa za programu zinazopatikana kwa kichapishi chako kutoka kwenye tovuti ya Epson au diski ya programu iliyotolewa.

    • Programu ya Kuchapisha

      • Programu ya Kuchapisha kutoka katika Kompyuta (Kiendeshi cha Kichapishi cha Windows)

      • Programu ya Kuchapisha kutoka katika Kompyuta (Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS)

      • Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)

      • Programu ya Kuchapisha kwa Urahisi Kutoka katika Kifaa Maizi

      • Programu ya Kufurahia Uchapishaji wa Picha Anuwai (Epson Creative Print)

      • Programu ya Kuchapisha kwa Urahisi kutoka katika Programu ya Android (Epson Print Enabler)

    • Programu ya Utambazaji

      • Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)

      • Programu ya Kudhibiti Kitambazaji (Epson Scan 2)

      • Programu ya kudhibiti Mipangilio ya Utambazaji kwenye Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)

    • Programu ya Kuweka Mipangilio

      • Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)

    • Programu ya Kusasisha

      • Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (EPSON Software Updater)

    Chapisha Kurasa zilizochaguliwa

    © 2023 Seiko Epson Corp.