>
Kunakili >
Kunakili Picha >
Chaguo za Menyu ya Karatasi na Mipangilio ya Kuchapisha kwa Picha za Kunakili
Chaguo za Menyu ya Karatasi na Mipangilio ya Kuchapisha kwa Picha za Kunakili
Restore Color:
Hurejesha rangi ya picha zenye rangi hafifu.
Paper Setting:
Chagua chanzo cha karatasi ambacho unataka kutumia. Teua ili uchague ukubwa wa karatasi na aina ya karatasi uliyopakia.
Border Setting:
Borderless
Hunakili bila pambizo kwenye kingo. Taswira imekuzwa kidogo ili kuondoa pambizo kutoka kwenye kingo za karatasi. Teua kiwango cha kubadilisha ukubwa kwenye mpangilio wa Expansion.