Mipangilio ya Kipaumbele ya VoIP Gateway <Epson Device Admin>
Baada ya kusajili VoIP gateway ili kutuma na kupokea faksi za IP, unahitaji kuweka masharti ya kutuma na kipaumbele cha VoIP gateway.
Tazama maelezo husika hapa chini kwa maelezo kuhusu masharti ya kutuma na vipaumbele vya VoIP gateway.