Suluhisho
Bofya Foleni ya U'haji kwenye kichupo cha kienfdeshi cha kichapishi cha Utunzaji.
Ikiwa kichapishi kiko nje ya mtandao au kinasubiri, futa mpangilio wa nje ya mtandao au wa kusubiri kutoka kwa menyu ya Kichapishi.

Suluhisho
Hakikisha umesakinisha kiendesha kichapishi halali cha Epson (EPSON XXXXX). Iwapo kiendeshi cha kichapishi cha Epson halali hakijasakinishwa, utendaji unaopatikana una kipimo. Tunapendekeza kutumia kiendeshi cha kichapishi cha Epson halali.
Ikiwa unachapisha picha yenye data kubwa, huenda komyuta ikakosa nafasi ya kutosha kwenye kumbukumbu. Chapisha picha kwa msongo wa chini au ukubwa mdogo.
Ikiwa umejaribu usuluhishaji wote na hujatatua tatizo hilo, jairbu kusakinusha na kisha usakinishe kiendeshi cha printa upya.
Unaweza kufuta tatizo kwa kusasisha programu hadi toleo la sasa. Ili kukagua hali ya programu, tuimia zana ya kusasisha programu.
Suluhisho
Bofya EPSON Status Monitor 3 kwenye kichupo cha kiendeshi cha kichapishi Utunzaji, na kisha uangalie hali ya kichapishi. Unahitaji kusakinisha EPSON Status Monitor 3 ili kuwezesha kipengele hiki. Unaweza kuipakua kutoka kwenye tovuti ya Epson.
Suluhisho
Bofya Foleni ya U'haji kwenye kichupo cha kienfdeshi cha kichapishi cha Utunzaji. Iwapo data isiyohitajika itasalia, teua Katisha nyaraka zote kutoka kwenye menyu ya Kichapishi.

Suluhisho
Bofya mara mbili kwenye aikoni katika Paneli Dhibiti > Tazama vifaa na vichapishi (au Vichapishi, Vichapishi na Faksi) kisha ubofye Weka kuwa kichapishi chaguomsingi.
Ikiwa kuna aikoni nyingi za vichapishi, angalia yafuatayo ili kuchagua printa sahihi.
Mfano)
Muunganisho wa USB: Misururu ya EPSON XXXX
Muunganisho wa mtandao: Misururu ya EPSON XXXX (mtandao)
Ukisakinisha kiendesha kichapishi mara nyingi, nakala za kiendesha kichapishi huweza kuundwa. Iwapo nakala kama vile “Misururu ya EPSON XXXX (nakala 1)” zinaundwa, bofya kulia ikoni ya kiendeshi kilichonakiliwa, na kisha ubofye Ondoa Kifaa.
Suluhisho
Bofya Foleni ya U'haji kwenye kichupo cha kienfdeshi cha kichapishi cha Utunzaji.
Hakikisha kwamba lango la kichapishi limewekwa ipasavyo jinsi inavyoonyeshwa hapa chini Sifa > Lango kutoka kwenye menyu ya Kichapishi.
Munganisho wa USB: USBXXX, Muunganisho wa Network: EpsonNet Print Port
Iwapo huwezi kubadilisha lango, chagua Endesha kama msimamizi kwenye menyu ya Kichapishi. Iwapo Endesha kama msimamizi haijaonyeshwa, wasiliana na msimamizi wako wa mfumo.