Unapoweka nenosiri la msimamizi, unaweza kuzuia watumiaji kubadilisha mipangilio ya usimamizi wa mfumo. Unaweza kuweka au kubadilisha nenosiri la msimamizi ukitumia ama Web Config, paneli dhibiti ya kichapishi au Epson Device Admin. Unapotumia Epson Device Admin, angalia mwongozo au usaidizi wa Epson Device Admin.