KKutenga Kazi

Unaweza kutenga kazi wakati wa kunakili au kuchapisha wakati hutumii ADF au Glasi ya Kitambazaji.

Huhitaji kutekeleza vitendo vyovyote maalum ili kutenga kazi. Iwapo utateua wakati wa utendakazi wa kawaida, kazi inaenedelea pindi tu baada ya kazi ya kwanza kukamilika.

Unaweza kutenga hadi aina 100 zifuatazo za kazi ikiwa ni pamoja na kazi ya sasa.

  • Chapisha

  • Nakili

  • Tuma Faksi