> Mwongozo wa Paneli Dhibiti > Kazi/Hali Usanidi wa Skrini

Kazi/Hali Usanidi wa Skrini

Teua Kazi/Hali kwenye paneli dhibiti ili uonyeshe menyu ya Kazi/Hali. Unaweza kukagua hali kichapishi au kazi.

Hubadili orodha zilizoonyeshwa.

Chuja kazi kwa utendaji.

Wakati Inatumika imeteuliwa, huonyesha orodha ya kazi zinazoendelea na kazi zinazosubiri kuchakatwa.

Wakati Kumbukumbu imeteuliwa, huonyesha historia ya kazi.

Unaweza kukatisha kazi au kukagua msimbo wa kosa ulioonyeshwa kwenye historia wakati kazi imeshindikana.

Huonyesha makosa yoyote ambayo yametokea kwenye kichapishi. Teua kosa kutoka kwenye orodha ili kuonyesha ujumbe wa kosa.

Hubadili orodha zilizoonyeshwa.

Wakati hutumii upenyo wa ziada wa kiolesura, unaeza kubadili vichupo ili kuonyesha hali ya kipengee cha hiari. Tazama maelezo husiani hapa chini kwa maelezo zaidi.

Huonyesha makadirio ya kiwango cha wino na kiwango cha maisha ya huduma ya kikasha cha ukarabati.