> Kukarabati Kichapishi > Kusakinisha au Kuondoa Programu Kando > Kusasisha Programu na Ngome > Kusasisha Programu dhibiti kwa Kutumia Web Config

Kusasisha Programu dhibiti kwa Kutumia Web Config

Kichapishi kikiweza kuunganishwa kwenye Mtandao, unaweza kusasisha programu dhibiti kutoka Web Config.

  1. Fikia Web Config na uteue kihupo cha Device Management > Firmware Update.

  2. Bofya Start, na kisha ufuate maagizo yaliyo kwenye skrini.

    Uthibitishaji wa programu dhibiti huanza na maelezo ya programu dhibiti huonyeshwa iwapo programu dhibiti iliyosasishwa ipo.

Kumbuka:

Pia unaweza kusasisha programu dhibiti kwa kutumia Epson Device Admin. Unaweza kuthibitisha maelezo ya programu dhibiti kwa kuangalia kwenye orodha ya kifaa. Ni muhimu unapotaka kusasisha programu dhibiti ya vifaa nyingi. Angalia mwongozo au msaada wa Epson Device Admin kwa maelezo zaidi.