> Kuchapisha > Kuchapisha Picha > Kuchapisha Faili za JPEG kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Kuchapisha Faili za JPEG kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Unaweza kuchapisha faili za JPEG kutoka kwenye kifaa cha kumbukumbu kilichounganishwa kwenye kichapishi.

  1. Unganisha kifaa cha kumbukumbu kwenye kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.

    Kuchomeka Kifaa cha Nje cha USB

  2. Teua Kifaa cha Kumbukumbu kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua JPEG.

  4. Teua faili.

  5. Donoa .

    Kumbuka:

    Ili kuhifadhi data ya uchapishaji kwenye hifadhi, teua Kuhifadhi Faili na uweke mipangilio ya kuhifadhi. Teua Mpangilio ili uchague iwapo utachapisha data kwa wakati mmoja.