> Utambazaji > Kutambaza Nakala Asili kwenye Wingu

Kutambaza Nakala Asili kwenye Wingu

Kabla ya kutumia kipengele hiki, fanya mipangilio kwa kutumia kipengele cha Epson Connect. Tazama tovuti ifuatayo ya kituo Epson Connect kwa maelezo.

https://www.epsonconnect.com/

http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Changanua > Wingu kwenye paneli dhibiti.

  3. Teua kisanduku cha Chagua Mfikio. Katika sehemu ya juu ya skrini na kisha uchague ufikio.

  4. Unda mipangilio ya utambazaji.

    Chaguo za Menyu za Kuchanganua kwenye Wingu

    • Teua ili kuhifadhi mipangilio yako kama iliyowekwa awali.
    • Teua kuweka upya mipangilio kwa chaguo-msingi yake.
    • Ili kuhifadhi nakala asili kwenye hifadhi, teua Kuhifadhi Faili na uweke mipangilio. Weka Mpangilio ili uchague iwapo utahifadhi taswira iliyotambazwa pekee kwenye hifadhi au la.
      Unahitaji kuweka maelezo ya ufikio iwapo utahifadhi taswira iliyotambazwa pekee kwenye hifadhi.
  5. Donoa .