Kumalizia:
Teua Pangiliza (Mpang'o wa Ukurasa) ili kuchapisha nyaraka za kurasa nyingi zilizochanganywa kwa mpangilio na kupangwa kwenye vikundi. Teua Kikundi (Kurasa Sawa) ili kuchapisha nyaraka za kurasa nyingi kwa kupata kurasa zenye nambari sawa kama kikundi.
Toa Karatasi:
Teua Geuza Mpangilio ili kuchapisha mbadala kwenye uelekeo wa taswira kutoka kwenye chanzo cha karatasi moja na uelekeo wa mandhari kutoka kwenye chanzo cha karatasi jingine. Chagua Otomatiki kama Mipangilio ya K'si unapotumia kipengele hiki.
Unaweza kuhifadhi data ya uchapishaji kwenye hifadhi.
Mpangilio:
Chaguo iwapo utahifadhi data ya uchapishaji pekee kwenye hifadhi au la.
Kabrasha (Inahitajika):
Chagua folda ambapo utahifadhi data ya uchapishaji.
Jina la Faili:
Weka jina la faili.
Nenosiri la Faili:
Weka nenosiri ili kuchagua faili.
Jina la Mtumiaji:
Weka jina la mtumiaji.