Unaweza kuchapisha faili za PDF kutoka kwenye kifaa cha kumbukumbu kilichounganishwa kwenye kichapishi.
Unganisha kifaa cha kumbukumbu kwenye kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Teua Kifaa cha Kumbukumbu kwenye skrini ya nyumbani.
Teua PDF.
Teua faili.
Donoa
.
Ili kuhifadhi data ya uchapishaji kwenye hifadhi, teua Kuhifadhi Faili na uweke mipangilio ya kuhifadhi. Teua Mpangilio ili uchague iwapo utachapisha data kwa wakati mmoja.