Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Mtumiaji
Kichupo cha kwanza
Teua kichupo unachotaka kuonyesha kwanza kila wakati unadonoa Faksi kutoka kwenye skrini ya juu ya faksi.
Kitufe cha Matumizi ya Haraka:
Unaweza kusajili hadi vipengee vinne vinavyoonyeshwa kwenye Faksi > Mara kwa mara na Mipangilio ya Faksi. Hii ni muhimu kwa mipangilio unayotumia kila mara.