Pia unaweza kufikia Mipangilio ya Faksi kutoka Web Config. Bofya kichupo cha Fax kwenye skrini ya Web Config.
Unapotumia Web Config kuonyesha menyu ya Mipangilio ya Faksi, kunaweza kuwa na tofauti kidogo kwenye kiolesura cha mtumiaji na katika eneo linalofananishwa na paneli dhibiti ya kichapishi.