Huonyesha vipengee na thamani za mpangilo kwenye Mipangilio kwenye
(Menyu).
Huonyesha skrini kwa kichupo cha Faksi > Mipangilio ya Faksi. Kudonoa
kwenye skrini huanza kutambaza nyaraka ili kuzihifadhi kwenye kikasha.
Wakati waraka upo kwenye kikasha, Kagua Waraka inaonyeshwa badala yake.
Huonyesha skrini ya uhakiki wakati waraka uko kwenye kikasha. Unaweza kuchapisha au kufuta waraka unapohakiki.
: Hupunguza au kuongeza.
: Huzungusha picha upande wa kulia kwa digrii 90.
: Husogeza skrini katika mwelekeo wa vishale.
: Husonga kwa ukurasa wa awali au unaofuata.
Ili kuficha ikoni za operesheni, donoa mahali popote kwenye skrini ya uhakiki isipokuwa kwa ikoni. Donoa tena ili kuonyesha ikoni.