Unaweza kupata menyu kwenye paneli dhibiti hapa chini: Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea > Mipangilio ya Hifadhi/Sambaza > Masharti ya Hifadhi/Sambaza.
Kwenye skrini ya Web Config, unaweza kutafuta menyu hapa chini.
Fax kichupo > Save/Forward Settings > Conditional Save/Forward
Unaweza kuweka mafikio ya kuhifadhi na/au kutuma mbele kwenye Kisanduku pokezi, vikasha vya siri, kifaa cha kumbukumbu ya nje, anwani za barua pepe, makabrasha yaliyoshirikiwa, na mashine mengine ya faksi.
Ili kubadili kati ya kuwezesha au kulemaza masharti, donoa mahali popote kwenye kipengee kilichowekwa isipokuwa kwa
.
Teua masharti na kisha uweke mipangilio.
Kituo cha laini kinapofanana, faksi iliyopokewa inahifadhiwa na kusambazwa.
Unaweza pia kuchagua hali zifuatazo (sawa na kutuma faksi kikawaida). Tazama “Maelezo Husiani” hapa chini kwa maelezo zaidi.
Ul'shaji wa N'ari ya Faksi ya Mtumaji
Uli'shaji kamili anwani ndogo (NDOGO)
Ulinganishaji kamili wa nywila
Wakati wa Kupokea