Mipangilio ya Uchapishaji (Mac OS)

  1. Teua Kukamilisha kutoka kwenye menyu ibukizi, kisha uteue nafasi ya kutoboa shimo kutoka kwenye Toboa.

  2. Weka vipengele hivyo vingine inavyohitajika.

  3. Bofya Chapisha.