> TumiKutumia Vipengee vya Hiari > Kihitimishi cha stepla (Staple Finisher) > Kutumia Kikamilisha Stepla > Kuweka mpororo wa Kila Kikundi cha Nakala kwa Kupanga kutoka kwenye Kompyuta

Kuweka mpororo wa Kila Kikundi cha Nakala kwa Kupanga kutoka kwenye Kompyuta

Unaweza kupanga machapisho kwa kuweka mpororo wa kila kikundi cha nakala kwa kuzungusha kwa digrii 90. Iwapo utasakinisha kikamilishi cha stepla au kimamilisha kijitabu cha hiari, unaweza pia kupanga kwa kuondoa kila kikundi cha nakala.

Geuza Mpangilio:

Huweka kwenye mpororo machapisho mbadala kwenye mwelekeo wa taswira na mwelekeo wa mandhari unapochapisha nakala nyingi. Kipengele hiki hutumia vyanzo viwili vya karatasi. Pakia karatasi kwenye mwelekeo wa taswira kwenye chanzo cha karatasi, pakia karatasi kwenye mwelekeo wa mandhari katika chanzo kingine cha karatasi, na kisha uteue Uteuzi Otomatiki kama mpangilio wa Chanzo cha K'tasi. Teua Uteuzi Otomatiki au Trei Inayoangalia Chini kama mpangilio wa Trei ya Zao. Machapihso yanawekwa kwenye mpororo kwenye Trei Inayoangalia Upande wa Chini.

Upangaji Hamishi:

Hutoa kila kikundi cha nakala unapochapisha nakala nyingi. Uteuzi Otomatiki au Trei Kamilishi kama mpangilio wa Trei ya Zao.