Mipangilio ya Uchapishaji (Windows PostScript)

  1. Kwenye Chaguo Mahiri za kiendeshi cha kichapishi, bofya Vipengele vya Kichapishi katika Chaguo za Waraka.

  2. Chagua mbinu ya kuweka kiroro cha nakala nyingi kutoka kwenye mpangilio wa Panga.

  3. Weka vipengee vingine, na kisha ubofye SAWA.

  4. Bofya Chapisha.