Kwenye kichupo cha kiendeshi cha kichapishi Kukamilisha, chagua nafasi ya kupiga stepla kutoka kwenye Bana kwa stepla.
Weka vipengee vingine, na kisha ubofye SAWA.
Bofya Chapisha.
Kuchapisha kutoka kwenye Kompyuta — Windows
Kichupo cha Kukamilisha