EPSON ITF

  • Fonti za EPSON ITF fonts zinazingatia viwango vya USS Interleaved 2-of-5 (Vya Marekani).

  • EPSON ITF fonts nne zinapatikana, zinazokuruhusu kuwasha au kuzima kuingiza otomatiki wa herufi za kuangalia na OCR-B.

  • Urefu wa msimbo wa mwambaaa unarekebishwa kiotomatiki hadi 15% au zaidi ya jumla ya urefu wake, kulingana na kiwango cha Interleaved 2-of-5. Kwa sababu hii, ni muhimu kuweka angalau nafasi moja katika ya msimbo wa mwambaa na matini yaliyo karibu ili kuzuia kupita nafasi zilizoachwa.

  • Interleaved 2-of-5 huchukuliwa kila vibambo viwili kuwa seti moja. Wakati kuna idadi isiyo ya kawaida ya vibambo, EPSON ITF fonts huongeza sufuri mwanzoni mwa utungo wa kibambo kiotomatiki.

Aina ya kibambo

Nambari (0 hadi 9)

Idadi ya vibambo

Haina kikomo

Ukubwa wa fonti

Wakati OCR-B haijatumika: 26 pt hadi 96 pt. Ukubwa unaopendekezwa ni 26 pt, 52 pt na 78 pt.

Wakati OCR-B imetuika: 36 pt hadi 96 pt. Ukubwa unaopendekezwa ni 36 pt na 72 pt.

Misimbo ifuatayo inaingizwa kiotomatiki na haihitaji kuwekwa kwa mkono:

  • Eneo tuli la Kushoto/Kulia

  • Kibambo cha Kuanza/Kukoma

  • Kuangalia herufi

  • Nambari “0” (hungezwa mwanzoni mwa utungo wa herufi kama inavyohitajika)

Kuchapisha sampuli

EPSON ITF

EPSON ITF CD

EPSON ITF Num

EPSON ITF CD Num