Upangaji Hamishi:
Huondoa kila seti ya nakala. Unaweza kuteua chaguo hili tu wakati umeteua Uteuzi Otomatiki au Trei Kamilishi kuwa mpangilio wa Trei ya Zao.
Teua iwapo unataka kukunja au kukunja na kutaraza machapisho.
Teua eneo la stepla.
Teua eneo la shimo linalotobolewa. Huonyeshwa wakati kitengo cha kutoboa kimesakinishwa.