Mipangilio Msingi (Wakati Bodi za Hiari za Faksi Zimesakinishwa)

Unaweza kupata menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini.

Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi

Kumbuka:

Kwenye skrini ya Web Config, unaweza kutafuta menyu hapa chini.

Fax kichupo > Basic Settings

Mipangilio ya Mstari wa Upanuzi:
G3-2:
  • Kasi ya Faksi

  • ECM

  • Ugunduaji Mlio wa kupiga Simu

  • Hali ya Kupiga simu

  • Aina ya Laini

  • Nambari Yako ya Simu

  • Hutoa mlio ili Kujibu

G3-3:
  • Kasi ya Faksi

  • ECM

  • Ugunduaji Mlio wa kupiga Simu

  • Hali ya Kupiga simu

  • Aina ya Laini

  • Nambari Yako ya Simu

  • Hutoa mlio ili Kujibu

Utendakazi kwa kila kipengee ni sawa na kutuma faksi ya kawaida. Tazama “Maelezo Husiani” hapa chini kwa maelezo kila kipengee.

Uwekaji wa Usambazaji Kwa Mstari:
G3-1:

Teua chaguo la laini ya kawaida ya G3-1 kulingana na jinsi itakavyotumika (kutuma pekee, kupokea pekee, au kutuma na kupokea). Wakati bodi ya hiari ya faksi imesakinishwa (utumaji faksi wa kawaida pekee), hii huambatana na Kutuma na Kupokea.

G3-2:

Teua chaguo la laini ya kiendelezi ya G3-2 kulingana na jinsi itakavyotumika (kutuma pekee, kupokea pekee, au kutuma na kupokea).

G3-3:

Teua chaguo la laini ya kiendelezi ya G3-3 kulingana na jinsi itakavyotumika (kutuma pekee, kupokea pekee, au kutuma na kupokea).